Carol Greider (amezaliwa 15 Aprili, 1961) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza vimeng'enya vya telomeri. Mwaka wa 2009, pamoja na Elizabeth Blackburn na Jack Szostak, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Carol Greider
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carol Greider kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.