Caroline Marie Henn (amezaliwa tar. 7 Mei 1976 mjini Panama City, Florida, Marekani) ni mshindi wa Tuzo ya Saturn, akiwa kama mwigizaji bora-mtoto aliyecheza kama Newt, msichana mdogo aliyekuwa chini ya ulinzi wa Sigourney Weaver (Ellen Ripley) katika filamu ya Aliens, katika mfululizo wa pili wa mkusanyiko wa filamu za Alien.[1][1][2]

Carrie Henn

Amezaliwa Caroline Marie Henn
7 Mei 1976 (1976-05-07) (umri 48)
Panama City, Florida

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carrie Henn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.