Cary Grant

Archibald Alexander Leach[1] (18 Januari 1904 – 29 Novemba 1986), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Cary Grant, alikuwa mwigizaji wa filamu wa Kiingereza-Kimarekani.[2] Huenda akawa alitambulika sana kwa kuwa mfano wa kuigwa na anaongoza kwa: uzuri, ukidume, kuwa na kipaji, na mcheshi.

Cary Grant
Cary Grant head shot Allan Warren.jpg
Grant in 1973, by Allan Warren
Amezaliwa Archibald Alexander Leach
(1904-01-18)Januari 18, 1904
Bristol, Uingereza
Amekufa Novemba 29, 1986 (umri 82)
Davenport, Iowa,
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1932–1966
Ndoa Virginia Cherrill (1934–1935)
Barbara Hutton (1942–1945)
Betsy Drake (1949–1962)
Dyan Cannon (1965–1967)
Barbara Harris (1981–1986)

Amepewa nafasi ya pili kwenye orodha ya Waigizaji Wakali wa Kiume wa Muda Wote na Taasisi ya Filamu Marekani. Miongoni mwa filamu zake mashuhuri ni pamoja na The Awful Truth (1937), Bringing Up Baby (1938), Gunga Din (1939), Only Angels Have Wings (1939), His Girl Friday (1940), The Philadelphia Story (1940), Suspicion (1941), Arsenic and Old Lace (1944), Notorious (1946), To Catch A Thief (1955), An Affair to Remember (1957), North by Northwest (1959), na Charade (1963).

MarejeoEdit

  1. McMann 1996, p. 271, n.13. Note: Although Grant's baptismal record records his middle name as "Alec", it is "Alexander" on his birth certificate.
  2. Obituary Variety, 3 Desemba 1986.

BibliografiaEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu: