Fungu (mmea)

(Elekezwa kutoka Celosia argentea)
Fungu
(Celosia argentea)
Fungu
Fungu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Core eudicots (Mimea kama alizeti)
Oda: Caryophyllales (Mimea kama fungu)
Familia: Amaranthaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mchicha)
Jenasi: Celosia
L.
Spishi: C. argentea
L.

Fungu (Celosia argentea) ni mmea wa familia Amaranthaceae unaopandwa sana katika Afrika na Asia ya Kusini-Mashariki. Majani na maua hulika.