Centenaria, Algeria
mji wa raia wa kale uliokuwepo wakati wa Dola ya Kirumi
Centenaria ni mji wa kale ulioundwa kipindi cha Dola la Roma. Unajulikana kwa magofu yake karibu na El Hamel, Algeria.
Jina Centenaria limepatikana kutokana mfumo wake wa ngome ya mashamba, katika miaka ya 2000 ambayo yalijengwa pembezoni mwa Limes Africanus, kaskazini mwa Afrika. Wengi walifanikiwa na wakazi walikuwa wengi.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Centenaria, Algeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |