Chacha Zakayo Wangwe

Chacha Zakayo Wangwe (amezaliwa tar. 15 Julai 1956 - 27 Julai 2008) alikuwa mbunge wa jimbo la Tarime katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CHADEMA.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Chacha Zakayo Wangwe (13 Agosti 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.