Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania
shirika la haki za wanawake nchini Tanzania
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (kifupi: CHAWAHATA; kwa Kiingereza: Tanzania Media Women’s Association) ni shirika lisilo la kiserikali linalozingatia haki za wanawake na watoto[1], makao makuu yake yapo Dar es Salaam, Tanzania, pia wana ofisi Zanzibar.
Historia
haririTAMWA ilianzishwa mwaka wa 1987 ikiwa ni miongoni mwa mashirika ya kizazi kipya ya kutetea haki za wanawake barani Afrika liliyoanzishwa wakati wa Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake wa mwaka 1985 mjini Nairobi,[2] ukitofautishwa na uhuru wao kutoka kwa serikali za kitaifa.[3]Nchini Tanzania, vikundi hivi vilijumuisha Mradi wa Utafiti na Uandishi wa Wanawake katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wa Shirika la Women Advancement Trust (WAT) na Mpango wa Mtandao wa Jinsia Tanzania.
Marejeo
hariri- ↑ "Children's rights", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-02-21, iliwekwa mnamo 2022-03-12
- ↑ Chigudu, Hope Bagyendera (2002). Composing a New Song: Stories of Empowerment from Africa (kwa Kiingereza). Commonwealth Secretariat. ISBN 978-1-77922-015-8.
- ↑ Tripp, Aili Mari (2003-01-01). "Women in Movement Transformations in African Political Landscapes". International Feminist Journal of Politics. 5 (2): 233–255. doi:10.1080/1461674032000080585. ISSN 1461-6742.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |