Chang Myon (Kikorea: 장면 張勉) (28 Agosti 1899 - 4 Juni 1966) alikuwa zamani mwanadiplomasia, Waziri mkuu, Makamu wa rais wa nchi ya Korea Kusini.[1] Chang Myon alikuwa Waziri mkuu 1950 hadi 1952, 1960 hadi 1961 na Makamu wa rais na aliyekuja kupokelewa na Ham Tae-young kuanzia mwaka wa 1956 hadi 1960. Alizaliwa mjini Jongro, Mkoani Seoul.[2]

Picha ya Makamu wa rais Chang Myon

Marejeo

hariri
  1. Chang Myon Archived 2013-01-11 at Archive.today (Kikorea)
  2. Chang Myon Archived 2012-12-16 at Archive.today (Kikorea)

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chang Myon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.