Chanika (Ilala)

(Elekezwa kutoka Chanika)

Chanika (Ilala) ni jina la kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 12115[1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 43,912 waishio humo.[2] Wilaya hii ina shule ya sekondari ya Chanika na Buyuni.

Kata ya Chanika

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali pa Chanika katika Tanzania

Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E / -6.82389; 39.24889
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ilala
Idadi ya wakazi
 - 43,912
Eneo maarufu Bonde la Mpunga au njia ya kwenda kwa Mama Kashia.


Tazama piaEdit


MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

BuguruniChanikaGerezaniGongo la MbotoIlalaJangwaniKariakooKimangaKinyereziKipawaKisutuKitundaKivukoniKiwalaniMajoheMchafukogeMchikichiniMsongolaPuguSegereaTabataUkongaUpanga MagharibiUpanga MasharikiVingunguti