Chanika ni kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 12115.

Eneo maarufu la Bonde la Mpunga au njia ya kwenda kwa Mama Kashia.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 75,271 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 43,912 waishio humo.[2]

Wilaya hii ina shule ya sekondari ya Chanika na Buyuni.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa