Charentsavan (Kiarmenia: Չարենցավան, pia kwa Kirumi Ch’arents’avan, Ch’arants’avan, Čarencavan, na Choentsavan; zamani uliitwa Lusavan mpaka 1967) ni mji uliopo mkoani Kotayk (marz) huko nchini Armenia. Mji una wakazi wapatao 19,708 kwenye sensa ya 2001 iliokataliwa. Mji ulianzishwa mnamo 1948, na kubadilishwa jina mnamo 1967 kwa heshima ya mshairi Yeghishe Charents.[1]

Mji wa Charentsavan

Marejeo

hariri
  1. Kiesling, Rediscoving Armenia, p. 56, available online at the US embassy to Armenia's website Ilihifadhiwa 26 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charentsavan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.