Charles C. Adams Jr.
Charles C. Adams Jr (alizaliwa 25 Agosti 1947) ni balozi wa zamani wa Marekani nchini Ufini.[1]
Hapo awali, alikuwa mtaalamu wa usuluhishi wa kimataifa na mwanaharakati wa kisiasa na kijamii.
Marejeo
hariri- ↑ "Walker, Charls E., (24 Dec. 1923–2 June 2015), Consultant, Washington, DC, since 1973", Who Was Who, Oxford University Press, 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2022-08-12
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles C. Adams Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |