Charles Kamathi
Charles Waweru Kamathi (alizaliwa 18 Mei 1978, karibu na Nyeri, Kenya) ni mkimbiaji wa mbio ndefu kutoka Kenya. Anajulikana zaidi kwa kushinda umbali wa mita 10,000 kwenye Mashindano ya Dunia mwaka 2001 huko Edmonton.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charles Kamathi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |