Edmonton

Edmonton ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa kwanza katika mkoa la Alberta, upande wa kati ya mkoa huu. Idadi ya wakazi ni 730,372 na eneo lake ni 684.37 m. Umbali na Calgary ni 277 km.

Edmonton, Kanada
Edmonton

Bendera
Edmonton is located in Kanada
Edmonton
Edmonton
Mahali pa Edmonton katika Kanada
Majiranukta: 53°34′00″N 113°31′26″W / 53.566667°N 113.52389°W / 53.566667; -113.52389
Nchi Kanada
Mkoa Alberta
Wilaya Edmonton Capital Region
Idadi ya wakazi
 - 730,372
Tovuti: http://www.edmonton.ca/

Mji ulianzishwa mwaka 1795.


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Edmonton kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.