Charles McLean Andrews

Charles McLean Andrews (22 Februari 18639 Septemba 1943) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1935, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Colonial Period of American History.

Charles McLean Andrews
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles McLean Andrews kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.