1863
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| ►
◄◄ |
◄ |
1859 |
1860 |
1861 |
1862 |
1863
| 1864
| 1865
| 1866
| 1867
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1863 BK (Baada ya Kristo).
Matukio hariri
- 9 Februari - Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imeanzishwa.
Waliozaliwa hariri
Kalenda ya Gregori | 2023 MMXXIII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5783 – 5784 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2776 |
Kalenda ya Ethiopia | 2015 – 2016 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1472 ԹՎ ՌՆՀԲ |
Kalenda ya Kiislamu | 1445 – 1446 |
Kalenda ya Kiajemi | 1401 – 1402 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2078 – 2079 |
- Shaka Samvat | 1945 – 1946 |
- Kali Yuga | 5124 – 5125 |
Kalenda ya Kichina | 4719 – 4720 壬寅 – 癸卯 |
- 22 Februari - Charles McLean Andrews, mwanahistoria kutoka Marekani
- 16 Aprili - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
- 16 Oktoba - Austen Chamberlain (mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 20 Oktoba - Arthur Henderson (mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1934)
- 12 Desemba - Edvard Munch, mchoraji kutoka Norwei
- 16 Desemba - George Santayana
Waliofariki hariri
- 14 Mei - Mtakatifu Mikaeli Garicoits, padri kutoka Ufaransa