Charles Okere

Kocha wa chama cha soka

Charles Okere Okoth (alizaliwa 23 Aprili 1981) ni mtaalam wa soka nchini Kenya ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya taifa Harambee Stars Kenya.

Charles Okere Okoth
Maelezo binafsi
Jina kamili Charles Okere Okoth
Tarehe ya kuzaliwa 23 Aprili 1981
Mahala pa kuzaliwa    Kenya
Nafasi anayochezea Kocha
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Harambee Stars
Timu ya taifa
Harambee Stars

* Magoli alioshinda

Okere alihudumu kama kocha wa chama cha Mathare Youth Sports Association kabla ya kuhamia klabu ya Kenya Commercial Bank S.C. (KCB) iiyopo Nairobi alikuwa kama kocha msaidizi mnamo aprili 2018 alijiunga na Kenyan Premier League side Tusker FC [1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Okere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.