Charlotte von Mahlsdorf
Charlotte von Mahlsdorf (18 Machi 1928 – 30 Aprili 2002) alikuwa mbadili jinsia mashuhuri waUjerumani Mashariki na mwanzilishi wa Jumba la Makumbusho la Gründerzeit huko Mahlsdorf, Berlin. Baadaye alikuja kuwa alama ya jamii ya LGBT nchini Ujerumani kutokana na filamu ya maisha yake I Am My Own Woman mwaka 1992.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Ich bin meine eigene Frau". cinema.de. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2024.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Eger, Henrik. "Behind The Mask", 12 July 2010.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlotte von Mahlsdorf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |