Chartres ni mji wa Ufaransa, maarufu hasa kwa kanisa kuu lenye ubora wa usanifu majengo katika mtindo wa Kigothi.

Sehemu ya mji wa Chartres


Chartres
Chartres is located in Ufaransa
Chartres
Chartres

Mahali pa mji wa Chartres katika Ufaransa

Majiranukta: 48°27′21″N 1°29′03″E / 48.45583°N 1.48417°E / 48.45583; 1.48417
Nchi Ufaransa
Mkoa Centre
Wilaya Eure-et-Loir
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 40,022
Tovuti:  www.ville-chartres.fr

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chartres kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.