Chati mtiririko au chati tiriri (kwa Kiingereza: Flowchart) ni aina ya mchoro unaowakilisha mtiririko au mchakato wa kazi.