Cheikh El Hasnaoui

Mwimbaji wa Kabyle wa Algeria


Cheikh El Hasnaoui (19102002) alikuwa mwimbaji wa Kiberber aliyezaliwa katika mji mdogo karibu na Tizi Ouzou nchini Algeria .

Cheikh El Hasnaoui
Amezaliwa
alizaliwa katika mji mdogo karbu na TIZI ouzou.
Amekufa 2002
Ufaransa
Nchi Algeria
Kazi yake Muimbaji

Aliimba muziki wa chaabi wa Algeria, na alikuwa, pamoja na Slimane Azem, aliyehusika kuweka misingi ya muziki wa kisasa maarufu wa Kabyle katika miaka ya 1950 na 1960.

Alifariki mnamo 2002 huko Saint Pierre de la Reunion, Ufaransa.

Marejeo

hariri