Chigozie Atuanya
Muigizaji na muongozaji filamu wa Nigeria
Zeal Chigozie Atuanya ni mwigizaji kutoka Nigeria, mtaarishaji wa filamu na mjasiriamali .[1][2]
Chigozie Atuanya | |
---|---|
Amezaliwa | Septemba 13 1980 Jimbo la Abia,Nigeria |
Jina lingine | Zeal Chigozie Atuanya |
Kazi yake | Muigizaji, Mtayarishaji, mjasiriamali |
Maisha ya awali na Elimu
haririChigozie Atuanya alizaliwa Aba katika Jimbo la Abia lakini alitokea Agu-Ukwu Nri kwenye Jimbo la Anambra. Anayo shahada ya utawala wa umma kutoka katika chuo cha Enugu State University of Science and Technology.[3]
Kazi
haririAlifanya filamu yake ya kwanza mnamo mwaka 1998 iliyoitwa King Jaja of Opobo na kuanzia hapo aliendelea kuwa mtaarishaji na muigizaji wa filamu tofauti.[3] .[4]
Filamu zake
hariri- Rattle Snake 3
- Evil Forest
- Ladies Men
- Ladies Gang
- Heavy Thunder
- Touch and Follow
- Sweet Potato
- Double Slap
- Royal Palace
- Chetanna
- Brother's Keeper (filamu ya 2014 )
Tuzo zake
haririMwaka | Hafla ya Tuzo | Zawadi | Matokeo | Marejeo |
---|---|---|---|---|
2011 | City People Entertainment Awards | Mwigizaji bora | Ameshinda | [5] |
2015 | Zulu African Film Academy Awards | Muigizaji bora wa kiume | Ameshinda | [6] |
2016 | 4th Africa Magic Viewers Choice Awards | Mtayarishaji bora wa filamu kwa lugha ya wazawa | Aliteuliwa | [7] |
Marejeo
hariri- ↑ Ezeh/Nigeriafilms.com, Maryjane. "Chigozie Atunaya Leaving The Movies For The Field? - nigeriafilms.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nigeria: I'll Preserve Igbo Culture With Movies - Atuanya". Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 3.0 3.1 "Happy birthday to Chigozie Atuanya, born September 13!". 13 Septemba 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-05. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Birthday Mates: Chigozie Atuanya and Monalisa Chinda (Born September 13) - Nigeria Movie Network". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-26. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ stephen. ""With God, nothing is impossible," says Nollywood Actor Chigozie Atuanya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Photos: Queen Nwokoye & Chigozie Atuanya Win Best Igbo Actress & Actor Of 2015 Awards At Zafaa - Nollywood, Nigeria, News, Celebrity, Gists, Gossips, Entertainment". Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Africa Magic Viewers' Choice Awards 2016: The full winners' list". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-30. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chigozie Atuanya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |