13 Septemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Septemba 13)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Septemba ni siku ya 256 ya mwaka (ya 257 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 109.
Matukio
hariri- 1276 - Uchaguzi wa Papa Yohane XXI
Waliozaliwa
hariri- 1860 - John J. Pershing, jenerali kutoka Marekani
- 1886 - Robert Robinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
- 1887 - Leopold Ruzicka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939
- 1924 - Maurice Jarre, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 1939 - Richard Kiel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1960 - Greg Baldwin, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1598 - Mfalme Filipo II wa Hispania
- 1935 - Arthur Henderson, mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1934
- 1949 - August Krogh, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920
- 1996 - Tupac Shakur, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1998 - George Wallace, mwanasiasa kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Krisostomo, Juliani wa Ankara, Kutabaruku Basilika la Kaburi takatifu huko Yerusalemu, Litori wa Tours, Emiliani wa Valence, Marselino wa Karthago, Maurili, Amato wa Habend, Veneri, Amato wa Sion n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |