Chimbalanzi
(Elekezwa kutoka Chimiini)
Chimbalanzi (pia Chimbalazi au Chimwiini) ni lahaja ya Kiswahili, inayozungumzwa kusini mwa Somalia, hasa katika eneo la Baraawe. Inahesabiwa kati ya lahaja za kaskazini za Kiswahili.[1]
Lahaja hii iko katika hatari ya kufa kwa sababu kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Somalia, wenyeji wengi wameondoka kwao na kutawanyika kote duniani.[2]
Marejeo
hariri- ↑ Nurse, Derek; Hinnebusch, Thomas J.; Philipson, Gérard (1993). Swahili and Sabaki: A Linguistic History (kwa Kiingereza). Univ of California Press. ISBN 9780520097759.
- ↑ "Chimiini Language Project". users.clas.ufl.edu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-12. Iliwekwa mnamo 2019-02-06.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chimbalanzi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |