Chingola ni mji wa Zambia katika mkoa wa Copperbelt.

Mgodi wa shaba wa Nchanga karibu na Chingola, Zambia
Mgodi wa shaba wa Nchanga karibu na Chingola, Zambia

Mwaka 2010 ulikuwa na wakazi 216,626[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chingola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.