Chirripó ni mlima wa Kosta Rika katika Amerika ya Kati.

Mlima Chirripó

Una kimo cha mita 3,820 juu ya UB.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chirripó kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.