Chomutov
Chomutov ni mji wa ishirini na moja kwa ukubwa nchini Ucheki wenye wakazi takriban 46,000 (2022)[1]. Kituo cha jiji kimehifadhiwa vizuri na kinalindwa na sheria kama eneo maalumu la mnara hapo mjini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chomutov kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |