Christopher Hatton
Christopher Hatton (1540 - 20 Novemba 1591) alikuwa mwanasiasa Chansela wa Uingereza na mpendwa wa malkia Elizabeth I wa Uingereza.
Miaka ya mwanzoni
haririSir Christopher Hatton alikuwa mtoto wa pili wa William Hatton (alikufa 29 Agosti 1546) wa Holdenby, Northamptonshire, na mke wake wa pili, Alice Saunders, binti Lawrence Saunders (alikufa 1544) wa Harrington, Northamptonshire. Bibi yake alikuwa Alice Brokesby, binti Robert Brokesby (alikufa 28 Machi 1531) wa Shoby, Leicestershire, na Alice Shirley.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christopher Hatton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |