Chukyo wa Japani

(Elekezwa kutoka Chukyo)

Chukyo (30 Oktoba, 121818 Juni, 1234) alikuwa mfalme mkuu wa 85 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kanenari, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Juntoku. Mwaka wa 1221 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu baada ya miezi michache tu mwaka huohuo. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Go-Horikawa.

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chukyo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.