Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania
(Elekezwa kutoka Chuo Kikuu St. John cha Tanzania)
Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (kwa Kiingereza: St John's University of Tanzania; kifupi: SJUT) ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana Dodoma, Tanzania.[1] Kilianzishwa mwaka 2007 na kinamilikiwa na kanisa la Anglikana Tanzania.
Chuo kilianza na wanachuo wapatao 811[2] mwaka 2007, kwa sasa kinakadiriwa kuwa na idadi ya wanachuo zaidi ya 4500.
Taaluma
haririMarejeo
hariri- ↑ "Orodha ya vyuo vikuu Tanzania" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kuhusu chuo cha Mt. Yohana US". www.sjut.ac.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-07. Iliwekwa mnamo 2019-11-07.
Viungo vya nje
haririKigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |