Chuo Kikuu cha Afrika ya Mashariki

Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki (kwa Kiingereza: University of East Africa) kilianzishwa tarehe 29 Juni 1963 [1] kikiwa kinahudumia nchi za Kenya, Tanzania na Uganda.

Mwaka 1970 kiligawanyishwa katika vyuo vitatu huru ambavyo ni Chuo Kikuu cha Nairobi, Chuo Kikuu cha Makerere na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Marejeo hariri

  1. "Universities: East Africa", A Historical Companion To Postcolonial Thought In English (Columbia University Press, 2005) Prem Poddar and David Johnson, eds., p489
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Afrika ya Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.