Chuo Kikuu cha Arusha


Chuo Kikuu cha Arusha (kwa Kiingereza: University of Arusha ; kifupi: UoA) ni chuo kikuu binafsi kilichopo jijini Arusha, Tanzania[1][2]. Chuo kikuu cha Arusha kinamilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.

Caption text

Taaluma hariri

Chuo Kikuu cha Arusha kinatoka astashahada, stashahada na shahada katika fani za:

  • Biashara
  • Elimu
  • Theolojia
  • Teknolojia ya habari ya mawasiliano
  • Utawala

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-22. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-22. 

Viungo vya nje hariri

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Arusha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.