Chuo Kikuu cha Bagamoyo
Chuo Kikuu cha Bagamoyo (kwa Kiingereza: University of Bagamoyo, kifupi: UB) ni chuo kikuu cha binafsi nchini Tanzania.[1] kilianzishwa na Tanzania Legal Education Trust (TANLET) pamoja na kituo cha kutetea haki za binadamu Tanzania (LHRC), chuo hiki kinapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam na kampasi kuu ipo eneo la Kiromo, Bagamoyo.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Register of Universities" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "University of Bagamoyo" (PDF). The Legal and Human Rights Centre. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-12-02. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2013.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Bagamoyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |