Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji ni miongoni mwa vyuo nchini Tanzania kilichopo Dar es Salaam kilianzishwa mnamo mwaka 1975.[1]
Kozi
haririChuo kinatoa kozi mbalimbali kuanzia ngazi ya Cheti, Stashada na Shahada ikiwa na baadhi ya idara za Uhandisi, Usafirishaji Biashara na Ugavi[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-17. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-17. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |