Chuo Kikuu cha Cambridge
(Elekezwa kutoka Chuo kikuu cha Cambridge)
Chuo Kikuu cha Cambridge ni chuo kikuu nchini Ufalme wa Muungano, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1209 huko Cambridge, Uingereza.
Chou Kikuu cha Cambridge | |
---|---|
University of Cambridge | |
Wito | Hinc lucem et poculia sacria |
Kimeanzishwa | 1209 |
Chansela | Lord Sainsbury of Turville |
Makamu wa chansela | Sir Leszek Broysiewick |
Staff | 9,823 |
Wanafunzi wa shahada ya kwanza | 12,220 |
Wanafunzi wa uzamili | 7,440 |
Mahali | Cambridge, Uingereza Mashariki, Ufalme wa Muungano |
Rangi | Samawati |
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Cambridge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |