Uingereza Mashariki

Uingereza ya Mashariki (Kiing.: East of England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 5,388,140. Mji wake mkuu ni Cambridge.

East of England
Mahali pa Uingereza Mashariki katika Uingereza
Mahali pa Uingereza Mashariki katika Uingereza
Nchi Bendera ya Ufalme wa Muungano Ufalme wa Muungano
Sehemu Bendera ya Uingereza Uingereza
Mji mkuu Cambridge
Eneo
 - Mkoa 19,120 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - 5,388,140
Tovuti: http://www.eelga.gov.uk/

Tazama piaEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uingereza Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
 
Mikoa ya Uingereza
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber