Ciara (alizaliwa 25 Oktoba 1985) ni mwimbaji, mwandishi na mtayarishaji wa muziki wa Marekani.

Ciara
Ciara, mnamo 2019
Ciara, mnamo 2019
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Ciara Princess Harris
Amezaliwa 25 Oktoba 1985 (1985-10-25) (umri 39)
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2004 – Mpaka sasa
Studio LaFace Records, Beauty Marks
Tovuti onlyciara.com

Ciara alianza kazi yake ya uanamuziki mwaka 2002 alipokutana na produza Jazze Pha, ndipo aliposaini mkataba na lebo yake iliyoitwa LaFace Records.

Mwaka 2004 alitoa albamu iliyoitwa Goodies na alifanikiwa kugombania tuzo za 48th Annual Grammy Awards.

Mwaka 2006 alitoa albamu yake ya pili iliyoitwa Ciara: The Evolution iliyokusanya nyimbo kama Promise, Get Up na Like a boy.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ciara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.