Claire Falknor

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Amerika

Claire Elizabeth Falknor (alizaliwa 12 Mei 1993) ni mchezaji wa soka wa nchini Marekani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Granadilla Tenerife kwenye ligi ya hispania iitwayo primera división. Awali alicheza soka katika chuo kikuu cha florida, alisajiliwa na timu ya tatu NSCAA All-American na baadae timu ya kwanza All-SEC mwaka 2015[1][2].

Claire Falknor
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaMarekani Hariri
Nchi anayoitumikiaMarekani Hariri
Jina halisiClaire Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa12 Machi 1993, 12 Mei 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaDayton Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
AlisomaUniversity of Florida, Centerville High School Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoDayton Dutch Lions, FC Bayern Munich Women, United States women's national under-23 soccer team, Florida Gators women's soccer Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claire Falknor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.