Claire Nouvian (alizaliwa Bordeaux, 19 Machi 1974) ni mwanaharakati wa mazingira, mwandishi wa habari, mtayarishaji wa televisheni, mkurugenzi wa filamu na kiongozi wa shirika wa Ufaransa.

Claire Nouvian mwaka 2018

Baada ya taaluma ya uandishi wa habari, alijihusisha na utetezi wa ulinzi wa bahari na maisha ya baharini. [1] Alitunukiwa Trophée des femmes en or mwaka 2012. [2] Alipokea Tuzo la Mazingira la Goldman mnamo 2018, Mfaransa wa pili kupokea tuzo hii (baada ya mwanabiolojia Christine Jean mnamo 1992). [3] [4]

Marejeo hariri

  1. "Rencontre avec des femmes remarquables 4/4". bloomassociation.org (kwa French). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-07. Iliwekwa mnamo 9 February 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Le palmarès des Femmes en Or 2012". luxsure.fr (kwa French). 17 December 2012. Iliwekwa mnamo 9 February 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Template error: argument title is required. 
  4. Template error: argument title is required. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claire Nouvian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.