Clark Blanchard Millikan

Clark Blanchard Millikan (Agosti 23, 1903 - Januari 2, 1966) alikuwa profesa maarufu wa elimu ya urubani huko California Institute of Technology (Caltech), na mwanachama mwanzilishi wa National Academy of Engineering.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clark Blanchard Millikan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.