Clemence Beatus Lyamba

Clemence Beatus Lyamba (amezaliwa tar. 16 Februari 1946) ni mbunge wa jimbo la Mikumi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Clemence Beatus Lyamba. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 2011-11-03.

Viungo vya nnjeEdit