Mikumi ni jina la kata ya Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 19,977 waishio humo. [1]

Kata ya Mikumi
Nchi Tanzania
Mkoa Morogoro
Wilaya Kilosa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 15,775

Kabila ambalo linaishi humo ni Wavidunda.

Mikumi iko kwenye barabara kuu ya TANZAM kando ya Hifadhi ya Mikumi.

Marejeo Edit

  1. Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-20.
  Kata za Wilaya ya Kilosa - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Berega | Chanzulu | Dumila | Kasiki | Kidete | Kidodi | Kilangali | Kimamba A | Kimamba B | Kisanga | Kitete | Lumbiji | Lumuma | Mabula | Mabwerebwere | Madoto | Magole | Magomeni | Magubike | Maguha | Malolo | Mamboya | Masanze | Mbigiri | Mbumi | Mhenda | Mikumi | Mkwatani | Msowero | Mtumbatu | Mvumi | Parakuyo | Ruaha | Rudewa | Ruhembe | Tindiga | Ulaya | Uleling`ombe | Vidunda | Zombo |


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mikumi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.