Clemente Canepari
Clemente Canepari (11 Novemba 1886 – 13 Septemba 1966) alikuwa mwanariadha wa mbio za baiskeli kutoka Italia. Aliibuka katika nafasi ya nne kwenye mashindano ya Giro d'Italia mwaka 1909.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Clemente Canepari". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-13. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clemente Canepari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |