Clive Scott (mwigizaji)
Robert Clive Cleghorn (au Clive Scott; 4 Julai 1937 - 28 Julai 2021) alikuwa mwigizaji nchini Afrika ya Kusini, maarufu zaidi kwenye maonyesho yake ya filamu kama The Villagers na Isidingo kwenye runinga ya soap operas.
Robert Clive Cleghorn | |
---|---|
Amezaliwa | 4 Julai 1934 Parkview, Gauteng, Afrika Kusini |
Amekufa | Desemba 2021 |
Jina lingine | Clive Scott |
Kazi yake | Mwigizaji |
Wasifu
haririClive Scott alizaliwa Parkview, Johannesburg, nchini Afrika ya kusini mwaka 1937 kama Robert Clive Cleghorn. Baada ya kifo cha baba yake mama yake Clive scott aliamua kwenda kuishi katika mji wa Cape Town huko Afrika Kusini.
Clive scott alihitimu elimu yake katika shule ya St. George's Grammar School na alichaguliwa kuwa kaka mkuu wa shule mwaka 1955 shuleni hapo. Clive Scott baada ya kwenda kuishi Zimbabwe Rhodesia kwa miaka miwili aliamua kuondoka na kwenda kuishi Uingereza na kukaa huko miaka 12 na [1] kusoma katika chuo cha sanaa cha Webber Douglas Academy of Dramatic Art. [2]mwaka 1965 alifanya utumbuizaji wa The mousetrap huko uingereza. [1]Na alirudi Afrika ya kusini mnamo mwaka 1970. Ilipofika mwaka 1976 alionekana kwenye matukio ya vipindi 76 vya tamthilia ya The Villagers kwa zaidi ya miaka mitatu na kutengeneza jina lake la kisanii kama Ted Dixon. [3]Pia alikua akifanya baadhi ya matangazo katika runinga za Afrika ya kusini.[4] Na alikua msemaji wa umma katika mambo ya esoteric[4] na alifariki julai 8 2021 akiwa na miaka 84.[5][6]
Tanbihi
hariri- ↑ 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedNET
- ↑ "Clive Scott". Avengers on Radio. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-16. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ de Beer, Diane (25 Februari 2014). "'Villagers' star tells it like it is". IOL. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 4.0 4.1 "Clive Scott" (PDF). Afro Celt Productions. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tributes pour in for TV veteran and comedian Clive Scott who has died aged 84". TimesLIVE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 29 Julai 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link) - ↑ "Condolences pour in for former 'Isidingo' actor Clive Scott". The Citizen (kwa Kiingereza). 29 Julai 2021. Iliwekwa mnamo 29 Julai 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clive Scott (mwigizaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |