Colby O'Donis
Colby O'Donis Colón (amezaliwa tar. 14 Machi 1989) ni mtunzi wa nyimbo za pop, R&B, na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Colby O'Donis.
Colby O'Donis | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Colby O'Donis Colón |
Amezaliwa | 14 Machi 1989 |
Asili yake | Richmond Hill, Queens, New York |
Aina ya muziki | Pop, R&B, Hip hop |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mpigaji gitaa, mpiga piano, dansa |
Miaka ya kazi | 1999–hadi leo |
Studio | Kon Live/Geffen |
Ame/Wameshirikiana na | Paul Wall, Akon, T-Pain, Lady Gaga, Kardinal Offishall, Romeo |
Tovuti | Tovuti Rsmi |
Wasifu
haririMaisha ya awali (kwa ufupi)
haririAlizaliwa mjini Marble Hill sehemu ya The Bronx, New York, akiwa na asili kamili ya Kipuerto Rico na Kiguyana.[1] Wazazi wa Colby waligundua kipaji cha mtoto wao akiwa na umri wa miaka 3 pale aliposhinda shindano la watoto wenye vipaji kwa kuimba wimbo wa Michael Jackson.
Mara nyingine pia alikuwa akitumbuiza kwa kujifurahisha kila Jumamosi na Jumapili katika kiduka cha baba yake kilichopo mjini Queens.[2]
Shughuli za muziki
haririMuziki
haririAlbamu zake
hariri- Colby O (2008)
Marejeo
hariri- ↑ "Colby O'Donis Bio". myspace. Iliwekwa mnamo 2008-01-03.
- ↑ "The New Kid on the Block". New York Times. 2008-09-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-19. Iliwekwa mnamo 2008-09-24.
Viungo vya Nje
hariri- Official Myspace page
- Official Site
- Official Facebook page
- Colby O'Donis at the Internet Movie Database
- Colby O'Donis Interview with RELOAD magazine
- Colby O'Donis MTV Tr3s Descubre & Download interview Ilihifadhiwa 9 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Colby O'Donis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |