Collapsus

Filamu ya kufikilika

Collapsus ni filamu ya animesheni yenye hadithi ya kufikirika.[1]

Hadithi hii inaelezea jinsi mgogoro wa nishati unavyoathiri vijana kumi, wakati mamlaka ya kimataifa inapambana na mizozo ya kisiasa na idadi ya watu wenye hofu juu mabadiliko ya makaa ya mawe kuwa nishati mbadala.

Marejeo hariri

  1. Bell, Mark. "CHECK OUT FILMMAKER TOMMY PALLOTTA'S NEW TRANSMEDIA PROJECT "COLLAPSUS"". Filmthreat. Iliwekwa mnamo 8 June 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Collapsus kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.