Conservation Commons [1]ni jitahadha za pamoja za kujielleza kwa asasi zisizo za kiserikali, mashirika ya kimataifa, serikali , asasi za kitaluma na taasisi binafsi, katika kuboresha upatikanaji na utumiaji wa takwimu, taarifa na ujuzi unaohusiana na kuhifadhi bioanuwai, kwa imani ya kwamba yatachangia kwenye kuboresha matokeo ya uhifadhi. Kwa urahisi, inashawishi taasisi na mtu mmoja mmoja kupata wazi takwimu, taarifa, utaalamu na ujuzi uhusiano na kuhifadhi bioanuwai. Lengo la Conservation Commons ni kukuza ufahamu , ueledi na usawa katika kusambaza ujuzi wa kusongeza uhifadhi[2]