Mlenda
(Elekezwa kutoka Corchorus)
Mlenda (Corchorus sp.) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlenda (Corchorus olitorius)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi >40, katika Afrika ya Mashariki: |
Milenda ni mimea ya jenasi Corchorus katika familia Malvaceae. Majani yao huliwa kama mboga yenye kuleta afya na hupikwa kwa mchanganyiko wa mimea mbalimbali kama bamia, mboga za majani na karanga; pia huliwa kwa ugali.
Spishi za Afrika ya Mashariki
hariri- Corchorus fascicularis, Mlenda Majani-membamba
- Corchorus olitorius, Mlenda wa Kawaida (Indian jute)
- Corchorus pseudocapsularis, Mlenda
- Corchorus tridens, Mlenda Matunda-pembe (Horn-fruited jute)
- Corchorus trilocularis, Mlenda Matunda-vyumba-vitatu (Threelocule jute)
Picha
hariri-
Majani na ua ya mlenda wa kawaida
-
Majani na ua ya mlenda matunda-vyumba-vitatu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlenda kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |