Cornelis Langenhoven

Mwanasiasa wa Afrika Kusini (1873-1932)

Cornelis Jacobus Langenhoven (13 Agosti 1873 - 15 Julai 1932) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini, hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya Kiafrikaans mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, Die Stem ("Mwito").

C.J. Langenhoven na mkewe wakiwa kanisani mjini Oudtshoorn kwenye harusi ya mtoto wao Engela, 1926

Angalia pia

hariri

Marejeo

hariri
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cornelis Langenhoven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.