Courtney Brosnan
Courtney Elizabeth Brosnan (alizaliwa 10 Novemba 1995)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu ambae anacheza kama kipa wa klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) [2].Courtney ni mzaliwa wa Marekani, anawakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Courtney Brosnan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |